Jennifer Kathure anawahudumia wagonjwa ya akili na waraibu wa mihadarati

  • | Citizen TV
    425 views

    Mwanamke bomba hii leo ni Jennifer Kathure ambaye amejitolea kuwahudumia waathiriwa wa magonjwa ya akili pamoja na waraibu wa dawa za kulevya wanaohangaika katika jamii. Ni shughuli anayofanya katika kituo alichokianzisha huko Meru baada ya waathiriwa hao kuongezeka huku wengine wakitelekezwa na jamaa zao kutokana na mila za jamii hiyo.