Serikali yatakiwa kukaza kamba kuzuia kusambaa kwa mbolea ghushi

  • | Citizen TV
    406 views

    Kwengineko, baadhi ya viongozi wa kidini na wakulima kaunti ya Kilifi wanamtaka waziri wa kilimo Mithika Linturi kubanduliwa ofisini kutokana na kuendelea kushamiri kwa uwepo wa mbolea ghushi nchini. Wakiongozwa na Askofu wa kanisa la JCC kaunti ya Kilifi Thomas Kakala, wanataka wanaohusika na sakata hii ya mbolea ghushi kuchukuliwa hatua.