Wanawake walemavu wanufaika na mafunzo ya biashara huko Busia

  • | Citizen TV
    379 views

    Wanawake walemavu wanaofanya biashara katika eneo la mpakani mjini busia na malaba wamepata mafunzo kuhusu mbinu mpya za kufanya biashara zao kupitia mtandao. Wanawake 150 wakifaidi mafunzo haya.