Makavazi yageuzwa shamba

  • | Citizen TV
    1,549 views

    Maeneo ya Pwani hujivutia maeneo mengi murwa ya kitalii katika maeneo ya kusini na kisiwani. Ila kuna baadhi ya sehemu za kale ambazo wakaazi wanahisi zimetelekezwa. Mojawapo ya maeneo haya ni kisiwa cha Pate ambako wakaazi wamegeuza magofu ya kihistoria ya Pate na kuwa shamba la ndizi.