Mkutano wa maafisa wa usalama waandaliwa

  • | Citizen TV
    192 views

    Kamishina kaunti ya Elgeyo Marakwet John Korir ametoa hakikisho kuwa wezi wa mifugo wanaowahangaisha wakazi na kusababisha maafa watakabiliwa na vitengo vya usalama.