Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini Israel imekataa misaada kuingia Gaza? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    18,202 views
    Duration: 26:54
    Mamia ya wanaharakatai, akiwemo mwanamazingira kutoka Uswidi Greta Thumberg wamekamatwa mapema leo na kuzuiliwa na jeshi la Israel walipokuwa wakielekea Gaza kupeleka misaada. Thumberg ambaye anajihusisha na safari ya aina hii ya maboti yenye kubeba misaada inayoelekezwa Gaza, anatarajiwa kutolewa katika eneo hilo kupitia bandari moja nchini Israel. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw