'Nilinusurika kuuawa mtaani, marafiki zangu hawakunusurika'
Ni takriban mwaka mmoja tangu Sudan ilipotumbukia katika vita vikali huku mamilioni ya watu wakilazimika kuyahama makazi yao.
-
Huku kukiwa na onyo la maafa makubwa ya kibinadamu, mapigano kati ya Jeshi la Sudan na Vikosi vya RSF pia yamesababisha kuongezeka kwa idadi ya wanaolengwa kuuawa.
-
Darfur imeathiriwa sana na serikali ya Uingereza hivi karibuni ilisema ina "viashiria vyote vya utakaso wa kikabila".
-
Mwandishi wa BBC Mercy Juma amezuru nchi jirani ya Chad kuzungumza na waathiriwa wa jaribio la kuuliwa mitaani na utekaji nyara wa lazima.
-
-
-
#bbcswahili #sudan #DARFUR #rsf #jeshilasudan #chad
1 Jun 2025
- The DCP Party was launched on Thursday, May 15.
31 May 2025
- Kenya Met also listed areas to experience very cold weather for the next 5 days.
31 May 2025
- The nominee was pressed to explain his alleged ties with Suna East MP Junet Mohamed and whether there is conflict of interest.
1 Jun 2025
- The DCP Party was launched on Thursday, May 15.
1 Jun 2025
- Arrested activist, experts reveal 'hidden' traps in the Finance Bill
1 Jun 2025
- Social media emerges as Ruto's most potent opposition
1 Jun 2025
- Pressure mounts on Aldai MP to withdraw new ICT Bill
1 Jun 2025
- Why Ngugi wa Thiong'o never won Nobel Prize for Literature
1 Jun 2025
- Samidoh goes from keeping exes coming back for more to serenading bandits
1 Jun 2025
- My father found the rhythm of life through music
1 Jun 2025
- World Bank: Use civil servants allowances to upgrade Naivasha
1 Jun 2025
- Thorns in the flesh: Multiple forces fighting Ruto's re-election bid
1 Jun 2025
- Will Natembeya win where others failed to unite the Luhya nation?