- 348 viewsJeshi la Israel Jumanne (May 14) lilitoa kanda ya video iliyochukuliwa na droni ikiwaonyesha watu wenye silaha wakiwa wamesimama pembeni ya gari lililokuwa na nembo ya UN katika eneo la Umoja wa Mataifa huko kusini mwa Gaza, katika mji wa Rafah, na wameutaka Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi. Taarifa iliyotolewa na IDF ilisema kuwa siku ya Jumamosi (Mei 11), wanajeshi walikuwa wamewatambua wapiganaji katika viwanja vya ghala kuu ya shirika la misaada la UN linalo wahudumia Wapalestina (UNRWA) mashariki mwa Rafah, ambako jeshi la Israeli limekuwa likifanya operesheni ya kijeshi kwa zaidi ya wiki moja. Msemaji wa UNRWA alisema shirika hilo linaichunguza kanda hiyo ya video na watatoa taarifa mara itakapokuwa iko tayari. Reuters iliweza kuifuatilia kanda hiyo ya video iliyochukuliwa karibu na majengo hayo, mlingoti, vyuma, matenki kwenye paa na majani yanafanana na picha ya satellite na picha nyingine zilizoko katika mafaili yao. Reuters haikuweza kuthibitisha kutoka vyanzo huru tarehe ambayo picha hiyo ilikuwa imechukuliwa. UNRWA imekuwa ikilengwa kwa ukosoaji mkali wa Israel, ikilishutumu shirika hilo kwa kushirikiana na harakati za Kiislam za Hamas huko Gaza na imetaka ivunjwe. Shirika hilo, lililokuwa limeanzishwa kuwasaidia wakimbizi wa Palestina waliokoseshwa makazi wakati wa vita ambavyo vilianza kipindi ambacho taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948, limekuwa likikanusha vikali tuhuma hizo. #Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran #helikopta #shambulizi #unrwa #un
Israel yatoa video ya wapiganaji ndani ya majengo ya UN
- 11 Aug 2025 - Kenya and the U.S. state of California are strengthening cooperation in technology, climate innovation, and sustainable development, President William Ruto announced on Monday.
- 11 Aug 2025 - Fresh fighting between the Somali government and forces loyal to the semi-autonomous southern Jubaland region killed at least two Somali soldiers on Monday, the defence ministry said.
- 11 Aug 2025 - Justice Bahati Mwamuye issued the directive after lawyer Kibe Mungai, representing the petitioner, informed the court that the DPP had yet to file his response, stalling progress in the case.
- 11 Aug 2025 - Police in Kilifi County say they have discovered seven shallow graves with human bones and skulls at Kwa Binzaro village.
- 11 Aug 2025 - The Nairobi Hospital on Monday announced it had suspended the implementation of its recently announced price adjustments following a meeting with medical insurance providers.
- 11 Aug 2025 - Mobile phone ownership in Kenya has risen from 47.3% in 2019 to 53.7% in 2024 as internet usage also increased nationally from 22.7 per cent in 2019 to 35.0 per cent in 2024.
- 11 Aug 2025 - Special trade agreements between Kenya and the UK allow the export of both goods and labour, and it is unclear what impact the changes will have.
- 11 Aug 2025 - The President said Kenya and the United States enjoy strong national and sub-national ties, with California.
- » Ojwang murder: DIG Lagat moves to block murder case He says the court has no authority to force the DPP to charge him. News 38 min ago Listen, Ojwang murder: DIG Lagat moves to block murder case News 38 min ago Listen- Ojwang murder: DIG Lagat moves to block murder case He says the court has no authority to force the DPP to charge him. News 38 min ago Listen, Ojwang murder: DIG Lagat moves to block murder case News 38 min ago Listen
- 11 Aug 2025 - This comes a day after the case was reported at the Capitol Hill Police Station.