- 377 viewsDuration: 1:24Muungano wa masista wa kanisa la Katoliki nchini unaitaka serikali pamoja na mashirika ya kijamii kuweka mikakati maalum ya kukinga watoto kutokana na ongezeko la visa vya ulanguzi wa kingono miongoni mwa watoto hasa katika maeneo ya ukanda wa pwani. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya