Wakazi wa Tana Delta wazidi kupata hasara baada ya vijiji saba kusombwa na maji

  • | K24 Video
    78 views

    Wakazi wa Tana Delta kaunti ya Tana River wazidi kupata hasara baada ya zaidi ya vijiji saba kusombwa na maji . Taswira hiyo inayotokana na kuvuja kwa mabwawa ya Seven Folks yaliyofurika imekatiza shughuli za masomo