- 838 viewsDuration: 3:06Idadi ya watu waliofariki kutokana na kipindupindu eneo la Transmara, kaunti ya Narok imefikia watatu baada ya mtu mmoja zaidi kuaga dunia. Idadi ya wanaougua kipindupindu pia imeongezeka na sasa kufikia watu 45 waliolazwa hospitalini. sasa idara ya afya ya kaunti ya Narok imepiga marufuku uuzaji wa vyakula eneo hilo.