Skip to main content
Skip to main content

Watu sita pamoja na hospitali washtakiwa kwa kujaribu kulaghai mamlaka ya SHA milioni 2

  • | Citizen TV
    2,230 views
    Duration: 1:53
    Watu sita pamoja na hospitali moja iliyotuhumiwa kupanga njama ya kuilaghai mamlaka ya SHA mamilioni ya fedha hii leo wameachiliwa kwa dhamana baada ya kukana mashtaka hayo. Sita hao pamoja na kliniki ya Jambo Jipya walishtakiwa kwa makosa kadhaa ikiwemo kughushi stakabadhi na kudai mamlaka hiyo ya afya kima cha shilingi milioni mbili