Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wawili wa chekechea wafariki Kayole baada ya kuangukiwa na vifusi vya ujenzi

  • | Citizen TV
    6,499 views
    Duration: 1:10
    Wanafunzi wawili wa shule ya chekechekea ya Emmanuel New Life Centre iliyoko mtaani Kayole hapa Nairobi wamefariki baada ya kuangukiwa na vifusi vya nyumba jirani iliyokuwa ikijengwa