6 Oct 2025 7:54 pm | Citizen TV 716 views Duration: 2:49 Serikali imezindua rasmi mpango mpya wa NYOTA utakaowaimarisha vijana katika kaunti zote nchini. Makatibu wa wizara mbalimbali wameongoza zoezi hili ambapo vijana watapewa mtaji na mafunzo ya kuanzisha miradi