Skip to main content
Skip to main content

Naibu rais Kithure Kindiki aongoza ziara Garissa, aahidi maendeleo na kulaani serikali iliyopita

  • | Citizen TV
    572 views
    Duration: 1:42
    Naibu Rais Profesa ameongoza ujumbe wa viongozi wa Kenya Kwanza kwa ziara kaunti ya Garissa, ambako amewahakikishia wakaazi maendeleo. Kindiki akiilimbikizia lawama serikali iliyopita kwa kile anasema ni kuwabagua wakazi wa maeneo ya Kaskazini mashariki. Viongozi walioandamana naye waliwarushia lawama wenzao wa upinzani kwa kuwagawanya wakenya