Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo na Gachagua waanza ziara Ukambani, wahimiza vijana kujisajili kupiga kura

  • | Citizen TV
    4,914 views
    Duration: 1:15
    Viongozi wa upinzani wakiongozwa Na Kalonzo Musyoka Na Rigathi Gachagua wameanza ziara yao eneo la Ukambani, wakifanya mikutano kaunti za Machakos na Kitui. Kwenye ziara hizo, wanasiasa hawa waliwahimiza vijana kujisajili kwa wingi kama wapiga kura ili kubadilisha uongozi na kumrudisha nyumbani Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu ujao. Gachagua akimuonya rais dhidi ya kuwatuma wajumbe kumshawishi Kalonzo kuungana naye