Jamii ya wabukusu yashauriwa kuzingatia taratibu za kiafya wakati wa tohara

  • | Citizen TV
    143 views

    Huku Msimu Wa Upashaji Tohara Hasa Kwa Jamii Ya Wabukusu Ukikaribia, Wito Umetolewa Kwa Wananchi Kufuata Taratibu Za Wizara Ya Afya Ili Kuepuka Madhara.