Tishio la kimbuga 'Ialy' katika kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    321 views

    Wakaazi wa Kilifi wametakiwa kuchukua tahadhari na kuepuka kujihusisha na shughuli za baharini kwa sabbau ya upepo mkali kutokana na dhoruba ya IALY.