Kuta za madarasa zaporomoka Busia

  • | Citizen TV
    154 views

    Shughuli za masomo zimetatizika kwa siku ya pili katika shule ya kibinafsi ya busia hills academy mjini busia baada kuta za madarasa matatu kuporomoka .