Wakaazi wa Kisii wataka bunge kuwapunguzia wakenya mzigo wa ushuru

  • | Citizen TV
    590 views

    Hisia mseto zinazidi kutolewa kuhusu mjadala unaoendelea wa Mswada wa Fedha wa mwaka 2024-2025. Washikadau mbalimbali kaunti ya Kisii wanatoa wito kwa wabunge wote kutilia mkazo maswala ya kupunguzia wananchi gharama ya maisha. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno anazungumza na wenyeji pamoja na viongozi kutoka Kisii kuhusu maswala yanayozonga wakenya.