- 14,781 viewsDuration: 1:49Wanaume kwa kawaida huwa hawaachi kutoa mbegu za kiume lakini hiyo haimaanishi kuwa hawana ‘ukomo’ wa kupata watoto kama wanawake. Kadiri mtu anavyozeeka, mbegu zake hupitia mabadiliko ya kijeni ambayo huongeza uwezekano kwamba mbegu zake zinaweza kuharibika. Hii inaweza kuathiri uzazi na pia kuleta athari zinazoweza kuathiri afya ya watoto wake wa baadaye. Martha Saranga anaelezea kwa kina #bbcswahili #afya #wanaume Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw