Hatma ya polisi Haiti

  • | Citizen TV
    21,038 views

    Akiendelea kushikilia msimamo wa kuwatuma maafisa wa polisi nchini Haiti licha ya tetesi zilizopo ... Rais William Ruto amesema kuwa maafisa hao wa usalama wanatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Haiti katika chini ya wiki tatu zijazo