Wakazi wa Trans - Nzoia watafuta suluhu za kesi za ardhi nje ya korti

  • | Citizen TV
    332 views

    Wakazi wa trans nzoia watafuta suluhu za kesi nje ya korti kesi nyingi za mashamba zimerundikana mahakamani mizozo ya mashamba imechochea visa vya uhalifu watu 12 wameuwawa mwaka huu kwasababu ya mashamba