7 Oct 2025 10:38 am | Citizen TV 244 views Duration: 1:50 Mashirika ya kijamii katika kaunti ya Tana River yametamaushwa na ongezeko la idadi kubwa ya wasichana wadogo kupata mimba na kisha kuozwa mapema kwenye kaunti hiyo.