Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa barabara ya Emali-Ukia kuanzishwa hii leo

  • | Citizen TV
    3,222 views
    Duration: 5:48
    Kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung'wa hii leo ataongoza viongozi wengine wa serikali ya Kenya Kwanza akiwemo mbunge wa Kibwezi magharibi Mwengi Mutuse kuzindua ujenzi wa barabara ya Emali-Ukia. Barabara hii ni muhimu kwa usafiri kwani inaunganisha kaunti ya Kajiado, Makueni na Kitui.