Skip to main content
Skip to main content

Visa vya dhuluma za kijinsia vimeongezeka kaunti ya Nyeri

  • | Citizen TV
    183 views
    Duration: 1:41
    Visa vya dhuluma za kijinsia vimeripotiwa kuongezeka kwa hali ya kutisha katika kaunti ya Nyeri ambapo visa vya kujitoa uhai haswa kwa wanaume na ubakaji wa watoto na wakongwe vikiongezeka kila siku.