7 Oct 2025 10:46 am | Citizen TV 367 views Duration: 2:06 Jamii ya Wasomali kaunti ya Taita Taveta sasa inatoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo kuangazia usawa katika nafasi za ajira na maendeleo kwa ujumla.