- 563 viewsDuration: 1:43Spika wa bunge la seneti Amason Kingi amewataka wakazi wa kaunti ya Busia kujitokeza kwa wingi katika nafasi nadra ya vikao vinavyoendelea vya ujio wa seneti mashinani ili kujihusisha na jinsi bunge la seneti linavyofanya kazi..