Skip to main content
Skip to main content

Maandamano ya wadau wa saratani yaandaliwa jijini Nairobi

  • | TV 47
    123 views
    Duration: 3:31
    Maandamano ya wadau wa saratani yaandaliwa jijini Nairobi. KENCO yaongoza mashirika 70 kushinikiza mageuzi ya SHA. Wagonjwa walalamikia kucheleweshwa kwa matibabu na kupunguzwa kwa manufaa. Maandamano yaanzia Maktaba ya Kitaifa hadi Hazina – Wizara ya Fedha. Waganga, waathiriwa na wanaharakati waimba kudai haki na heshima. SHA yaadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake. Wagonjwa wa saratani wadai huduma bora na usawa wa kiafya. KENCO yasema urasimu unavuruga maisha ya wagonjwa. Wito wa mageuzi ya dharura katika sekta ya afya. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __