7 Oct 2025 1:10 pm | Citizen TV 196 views Duration: 1:24 Huku mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma nchini ukiendelea, viongozi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Laikipia wametishia kujiunga na mgomo huo iwapo serikali haitawajibika kwa kipindi cha saa 72.