- 379 viewsDuration: 1:48Muungano wa Wachapishaji wa Vitabu nchini umeelezea wasiwasi kuhusu hatua ya serikali kuchelewa kutoa malipo,ya jumla ya shillingi billioni 11.4,hali inayotishia kusababisha kuchelewa kwa uchapishaji wa vitabu vya wanafunzi wa Gredi ya kumi.