- 321 viewsDuration: 1:25Shughuli za Masomo Katika chuo kikuu cha Dedan Kimathi kilichoko kaunti ya Nyeri zinatarajiwa kutatizika zaidi, baada ya wahadhiri na wafanyakazi wa chuo hicho kuanzisha mgomo wa pili, wakiteta kukandamizwa na chuo hicho, kwenye utekelezaji wa Mikataba miwili ya makubaliano iliyopita