- 1,407 viewsDuration: 2:55Idara ya usalama imetoa hakikisho la usalama wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo katika eneo bunge la Kasipul kaunti ya Homa Bay.Katibu wa wizara ya usalama wa ndani Raymond Omollo amesena visa vya ghasia vilivyoshuhudiwa wakati wa mchujo havitapata nafasi wakati huu wa uchaguzi mdogo.