- 112 viewsDuration: 1:15Wito unatolewa kwa vijana kujitokeza na kujisajili kama wapiga kura kuelekea uchaguzi wa 2027, ili kuwachagua viongozi wenye maono ya maendeleo. Wakizungumza kule Butere, Kasisi John Ambaisi wa Kanisa la St. Thomas Nyenyesi, na wakereketwa wengine wamesisitiza umuhimu wa kura ya vijana kuwa chachu ya mabadiliko.