7 Oct 2025 1:38 pm | Citizen TV 1,031 views Duration: 2:15 Sekta ya utalii katika Pwani ya Kenya inaelekea kuimarika zaidi baada ya wadau katika sekta hiyo kuwaleta watalii na mawakala zaidi ya 500 kutoka mataifa 39 duniani.