7 Oct 2025 1:41 pm | Citizen TV 433 views Duration: 1:38 Bodi ya usimamizi wa maji na sehemu za chemichemi WRA imetoa onyo kali kwa wanaovamiamia sehemu za chemichmei katika milima ya bahari eneo la Shella Kisiwa cha Amu ambayo huhifadhi maji