- 1,100 viewsDuration: 3:27Hatua ya idara ya afya Kufungua chumba cha upasuaji ambacho kimetengwa kwa ajili ya kina mama kujifungua imetajwa kama jeki kubwa kwenye juhudi za kupunguza vifo vinavyotokana na kina mama kujifungua.Chumba hicho ambacho kiko katika hospitali ya rufaa ya Kajiado kinalenga kuwashugulikia wanawake kati ya 10 hadi 15 kila siku.