7 Oct 2025 1:48 pm | Citizen TV 1,753 views Duration: 3:28 Familia mbili katika eneo la Kimwani kaunti ya Nandi zimeitaka serikali kuhakikisha haki inatendeka baada ya wana wao kupoteza maisha kwa kupigwa risasi na polisi kwenye mzozo wa ardhi unaoendelea katika eneo hilo.