Seneta Okiya Omtata na Daktari wa Upasuaji Magare Gikenye wapinga makatibu waandamizi 50

  • | NTV Video
    212 views

    Watu wanne wakiwemo Seneta wa Busia Okiya Omtata na Daktari wa Upasuaji jijini Nakuru Magare Gikenye, wanataka mahakama kumzuia rais William Ruto kuteua makatibu waandamizi yaani CASs 50.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya