Mwanajeshi aliyestaafu ageukia ufugaji wa nyuki Busia

  • | KBC Video
    133 views

    Mwanajeshi aliyestaafu viungani mwa kaunti ya Busia anabadili mkondo wa maisha yake baada ya kuhudumia taifa hili kwa miaka mingi jeshini. Charles Akumbo amechukua mkondo mpya ambao anasema ulimpa mwamko mpya maishani.Mwanajeshi huyo mstaafu aliyeongea na runinga ya Channel One anasimulia panda shuka ya shughuli yake mpaya ya ufugaji nyuki. maelezo zaidi ni katika taarifa yake John Kahiro.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive