Wakaazi Kajiado waibua malalamiko kuhusu ardhi ya makaburi

  • | Citizen TV
    318 views

    Baadhi ya Wakazi wa Kajiado wameibua malalamiko dhidi ya kile wanachodai ni jaribio la kunyakua ardhi ya makaburi ya Waislamu mjini Kajiado. Wakazi hao wanawatuhumu baadhi ya viongozi wa msikiti kushirikiana na shirika la ujenzi kutoka nchi za nje kuendeleza mradi wa makazi katika eneo lililotengewa makaburi.