Mwanaume amuua mpenzi wake kutoka Kyethani, Mwingi Magharibi kutokana na mapenzi ya siri

  • | TV 47
    6 views

    Mwanaume amuua mpenzi wake kutoka Kyethani, Mwingi Magharibi, Kaunti ya Kitui.

    Inadaiwa kuwa wawili hao walikuwa na siri za kimapenzi na kulingana na ndugu ya mwendazake.

    Mwili wa marehemu umehifadhiwa makafani ya Mwingi Level 4.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __