Taarifa mseto kutoka magatuzini

  • | KBC Video
    6 views

    Zaidi ya walimu-1,200 wa shule za sekondari msingi katika kaunti ya Kilifi wamekataa wito wa kusitisha mgomo wao wakidai wawakilishi wao wameshawishiwa. Walimu hao wanasema kuwa hawatarejea kazini hadi pale watakapofidiwa na kuajiriwa kwa masharti ya kudumu. Habari zaidi ni kwenye mseto wa magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive