Bunge lahimizwa kuondoa ushuru wa visodo

  • | KBC Video
    17 views

    Wanafunzi kutoka familia zisizojimudu kote nchini wanatarajiwa kunufaika kutokana na msaada wa sodo ikiwa bunge ltapitisha pendekezo la wawakilishi wa kina mama katika kaunti zote-47 la kuondoa ushuru unaotozwa taulo za hedhi. Akiongea wakati wa usambazaji sodo katika eneo la Ndumberi, mwakilishi wa kina mama kaunti ya Kiambu, Ann Muratha, alisema takriban asilimia-65 ya wasichana hukosa kwenda shuleni wakati wa hedhi na sasa hatua hiyo itawapa motisha wasichana na kuhakikisha wanasalia shuleni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive