Vijana wa Kenya na India kubadilishana mawazo ili kuimarisha uhusiano dhabiti wa jamii hizo

  • | KBC Video
    206 views

    Kundi la viongozi kutoka jamii ya Wa-Hindu limeanzisha mpango wa kubadilishana talanta baina ya vijana wa Ki-Hindu na Wakenya kama sehemu ya kuimarisha uhusiano dhabiti wa jamii hizo na asili yake. Wakiongozwa na mwenyekiti wa kundi la Shree Navnat Vanik Mahajan, Manish Shan viongozi hao walisema utamaduni wa jamii ya wahindu wanatilia mkazo maadili ya kifamilia ambapo vijana wa jamii hiyo walioko humu nchini wanaweza kunufaika na kujifahamisha kuhusu asili yao

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive