Skip to main content
Skip to main content

Maambukizi ya kipindupindu yaongezeka Kilgoris na Lolgorian huku hoteli 30 na kichinjio zikifungwa

  • | Citizen TV
    1,254 views
    Duration: 3:09
    Watu sita zaidi wamethibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Kipindupindu huko Kilgoris na Lolgorian, na kufikisha idadi ya walioaathirika kuwa 51. Haya yanajiri huku Idara ya afya ya umma ikichukua hatua za haraka kuzuia maambukizi zaidi kwa kufunga takriban hoteli 30 eneo hilo na Kichinjio kikuu cha Kilgoris mjini