- 6,371 viewsDuration: 2:57Wakulima wa mahindi katika maeneo tofauti wanakadiria hasara kubwa kutokana na Mvua inayoendelea kunyesha katika sehemu nyingi humu nchini. Hali hiyo imesababisha mavuno kuozea mashambani huku wakulima wakisalia kutazama jasho lao likiambulia patupu