- 15,180 viewsDuration: 28:10Ni miaka miwili tangu kundi la Hamas liliposhambulia raia wa Israel katika mji wa kusini mwa Israel na kuwateka watu zaidi ya 250 na kuwauwa wengine zaidi ya 1,000. Miaka miwili baadaye, Gaza imesalia magofu huku Israel ikichukua udhibiti wa maeneo kama jiji la Gaza na kwengineko kuzuia shambulizi lingine kutokea. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw