7 Oct 2025 8:01 pm | Citizen TV 500 views Duration: 1:25 Naibu Rais Kithure Kindiki ameyarai mataifa ya Afrika kukumbatia Teknolojia ili kujikuza kibiashara na kuhesabika miongoni mwa mataifa yaliyokuwa na kuimarika duniani