Shule yatozwa faini ya shilingi 650,000 kwa kumfukuza mwanafunzi sababu ana virusi vya HIV

  • | Citizen TV
    1,333 views

    Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu kaunti ya Garissa yameridhishwa na uamuzi wa mahakama ambapo usimamizi wa shule moja ya msingi mjini humo uliamurishwa kulipa fidia mwanafunzi aliyefukuzwa kutoka shule hiyo kwa sababu ana virusi vya HIV.